WEMA KUFUNGUKA YA MOYONI LEO SAA TANO

Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema WEMA SEPETU anatarajia kuongea na Waandishi wa habari leo saa tano juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea hapa nchini.Taarifa juu ya anachotarajia kukiongea WEMA zitakufikia kwa wakati popote ulipo kaa nasi.#darmpya.com