WAKILI BANDIA AKAMATWA MAHAKAMA KUU.

Mtu mmoja amejikuta katika mikono ya sheria baada ya kukamatwa Mahakama Kuu ya Tanzania akijifanya Wakili.

Inadaiwa kuwa, mtu huyo alijiingiza mwenyewe katika mhimili huo mkuu wa dola baada ya kujisahau na kumsalimia Jaji “Kaka shikamoo”.

Mtu huto amewekwa chini ya ulinzi kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*