VIDEO YA PSQUARE WAKIGOMBANA YAZIDI KUSAMBAA KWAKASI.

ā€‹
Ndugu wa kundi la P-Square, Paul na Peter Okoye hawako sawa tena. Video iliyowekwa na blogger maarufu wa Nigeria, Linda Ikeji imemuonesha kaka yao, Jude Okoye pamoja na Paul wakirushiana matusi na Peter kwenye ofisi ya mwanasheria wao.
Tazama video hiyo hapo chini.ā€‹

Inadaiwa kuwa Peter amemtaka mwanasheria wao aruhusu kuvunjika kwa kundi hilo sababu ni hatari kwa maisha ya mkewe na wanae.