TOP 10 YA RAPPERS WALIOSHIRIKISHWA KWENYE NGOMA NYINGI ZAIDI.


Hii ndio Top 10 ya rappers walioshilikishwa kwenye ngoma nyingi zaidi, Anaongoza snoop dogg ameshirikishwa kwenye ngoma nyingi zaidi kuliko marapper wote.

1. Snoop Dogg- 583 Features

2. Lil Wayne- 430 Features

3. Bun B- 280 Features

4. 2Chainz- 274 Features

5. Busta Rhymes- 254 Features

6. Nate Dogg- 241 Features

7. Jay-Z- 229 Features

8. Kendrick Lamar- 206 Features

9. E40- 200 Features

10. T-Pain- 197 Features.

Usiache kusubusribe YouTube channel yetu ya Darmpya2017 nakutufollow instagram, facebook, pamoja na Twittet, tunafahamika kwa jina la Darmpya.