TANZANIA ILIHITAJI MMOJA WETU AFIKE AMESEME SASA BASI- DKT.KIGWANGALA

Waziri wa Maliasili na Utalii, ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijni Dkt.Khamis Kigwangala amesema kuwa, Tanzania ilihitaji mmoja wetu afike mahali aseme ‘Sasa Basi’ na tutake tusitake iwe hivyo.

Waziri Kigwangala amesema kuwa, Rais Magufuli ameamua kujitoa mwenyewe na na tunatakiwa kumuunga mkono.

“Mimi namuunga mkono kwa ‘vitendo’, nasema sasa basi, nitamsaidia kazi hii kwa uaminifu, uadilifu, uzalendo na weledi wa hali ya juu,” amesema Dkt.Kigwangala.

Aliongezankuwa, Rais Magufuli amempa kazi hivyo ataifanya.

“Si amenipa kazi?, kazi nitafanya tena kwa uaminifu,” akasema.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*