RAY VANNY AMESHINDA TUZO YA BET KATIKA KIPENGERE CHA THE BEST INTERNATIONAL ACT VIEWERS CHOICE

Ray vanny amekuwa Mtanzania na Mwafrika wa kwanza kutaja kuwania tuzo ya Black Entertainment Television (BET) huku akiwa na ushindani mkubwa toka kwa wapinzani wake.

Ray vanny alishindana na wanamuziki toka mataifa tofauti kama vile;
David (UK), Jorja Smith (UK), Changmo (South Korea), Daniel Caesar (Canada), Amanda Black (SA), Remi (Australia) na Skip Marley (Jamaica).

Hongera nyingi kwa Ray Vanny na WCB kwa ujumla