NDOA ZA JINSIA MOJA SASA RUKSA NCHINI AUSTRALIA

Ni sherehe kubwa kwa wananchi wa Australia kufuatia takriban asilimia 61 ya wakazi wa nchi hiyo, kupiga kura ya ndio kupitisha maoni ya kuwa na ndoa za jinsia moja.

Katika kupiga kura hizo ni asilimia 38 tu kati ya wapiga kura hao ndio waliopinga kukubaliana na ndo hiyo ya jinsi moja, idadi ambayo ni ndogo sana.

Aidha, Waziri Mkuu wa Taifa hilo amelitaka bunge kupitisha sheria hiyo ya kuruhusu ndoa hizo mapema kabla ya Sikukuu ya Christmas.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*