MKURUGENZI WA MANISPAA YA UBUNGO AFANIKISHA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA.

Wahenga wamekuwa wakitumia kauli hizo zenye lengo la kuleta maendeleo katika Taifa letu la Tanzania kwa Upande wa Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo amefanikiwa kupata wadau wa Elimu kuwezesha kujenga madarasa mawili(2) katika shule ya Sekondari Urafiki tena ya Kisasa.

Shule hiyo ipo katika Kata ya Ubungo karibu na urafiki Social Hall ni miongoni mwa Kata 14 za Manispaa ya Ubungo.

Madarasa hayo ni ya Kisasa kwa sasa yataezekwa paa kwa mjibu wa Mkandarasi jinsi mahitaji ya madarasa yatavyoongezeka unao uwezo wa kuezua paa ukaongeza madarasa mengine juu ikawa gorofa karibu tujifunze Ubungo.

Huu ni mwonekano wa ujenzi wa madarasa hayo unaoendelea katika Shule ya Sekondari Urafiki.

AHSANTENI WADAU WA ELIMU UBUNGO TUNASONGA MBELE 

Imetolewa na:
Kitengo Cha Habari na Uhusiano UMC.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*