MH.KIGWANGALA AIAGIZA TAKUKURU KUMKAMATA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UWINDAJI YA OBC

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Khamis Kigwangala ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kumkamata na kumchunguza Mkurugenzi wa Kampuni ya Ortel Business Corporation (OBC).

Imeelezwa kuwa, kampuni hiyo ambayo ni kampuni ya Isaac Mollel uwindaji inayomilikiwa na kiongozi wa Dubai ambayo inakabiliwa na tuhuma za kujaribu kumhonga yeye na watangulizi wake.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*