MANISPAA YA KIGOMA YASAINI MKATABA NA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA CHINA

Manispaa ya Kigoma Ujiji imeingia mkataba wa makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Linghang Group ya China muda huu kwa ajili ya Ujenzi wa Kituo cha uwekezaji, Uuzaji, na Usambazaji wa Bidhaa kwa nchi za Maziwa Makuu cha UJIJI CITY na Kiwanda cha SAMAKI.

Imefahamika kuwa, Kituo hicho kinatarajia kujengwa Bangwe- Katonga.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*