KUMRADHI JOHN HECHE

Uongozi wa blog ya Darmpya.com unauomba radhi mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini mheshimiwa John Heche baada ya leo 10/8/2017 kwenye ukurasa wetu wa twitter kuandika taarifa iliyomnukuu akisema “

Lissu amehongwa na wazungu” tumebaini mbunge huyo hakutoa kauli hiyo”

Hivyo tunamuomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza baada ya taarifa hiyo tunaahidi kuwa makini zaidi

Uongozi wa Darmpya.com