KITUO CHA MAFUTA CHA BAKHARESA KIMEWAKA MOTO.

Kituo cha mafuta cha Bakhresa Kinazini kimewaka moto Mchana huu ikiwa bado mpaka sasa chanzo haswa cha moto huo haijajulika.

Hatahivyo Mpaka muda huu watu wapo katika jitihada za kuendelea kuuzima moto huo..

Uchunguzi unafanyika pindi moto utakapofanikiwa kuzimwa ili kuweza kufahamu chanzo kilichosababisha moto huo.

 

*Aneth Dominic*