HATARI: SMARTPHONE KUCHANGIA KUPOTEZA KUMBUKUMBU KABISA KWA WATU.

Utafiti wa madaktari unaonyesha kuwa simu janja, inasababisha madhara makubwa sana kwenye mwili wa binadamu.

Picha ikionyesha jinsi mwanga wa simu janja (smartphone) unavyoathiri ubongo na mwili wa binadamu