DIAMOND PLATNUMZ ATIKISA AFRIMA.

Msanii maarufu duniani kote Diamond Platnumz, mzee wa  Hallelujah, alitikisa sana Katika tuzo za AFRIMA, nibaada yakushinda tunzo ya Mwanamuziki bora wakiume afrika mashariki nakuifanya bendera ya Tanzania kundelea kupepea vizuri kwenye nyanja ya kimataifa, kutokana na  kijana wetu Chibu kuonyesha ubora wake.

Pia Diamond Platnumz hakuwapeke yake, wafuatao ni kati wasanii walioshinda tuzo hizo za Afrima.

LISTI YA WASHINDI TUZO : AFRIMMA 2017
AFRIMMA 2017 Best Male West Africa -Falz (Nigeria)
AFRIMMA 2017 Best Female West Africa -Tiwa Savage (Nigeria)
AFRIMMA 2017 Best Male East Africa – Diamond Platnumz (Tanzania)
AFRIMMA 2017 Best Female East Africa – Victoria Kimani (Kenya)
AFRIMMA 2017 Best Male Central Africa -C4 Pedro (Angola)
AFRIMMA 2017 Best Female Central Africa – Nsoki (Angola)
AFRIMMA 2017 Best Male Southern Africa- Cassper Nyovest (South Africa)
Afrimma 2017 Best Female Southern Africa – Babes Wodumo (South Africa
AFRIMMA 2017 Crossing Boundaries with Music Award C4 Pedro (Angola)
AFRIMMA 2017 Best Newcomer -Nsoki (Angola)
Afrimma 2017 Artist of The Year – Davido (Nigeria)
AFRIMMA 2017 Best DJ Africa – Dj Spinall (Nigeria)
AFRIMMA 2017 Best African Dj USA – Dj Tunez (Nigeria)
AFRIMMA 2017 Video of The Year -Fally Ipupa – Eloko Iyo Congo
AFRIMMA 2017 Music Producer of The Year – Julz (Ghana)
AFRIMMA 2017 Best African Dancer – Ghetto Triplets Kids – Uganda
AFRIMMA 2017 Song of The Year – Davido – IF (Nigeria)
AFRIMMA 2017 Best Lusophone – C4 Pedro (Angola)
AFRIMMA 2017 Best Francophone – Fally Ipupa (Congo)
AFRIMMA 2017 Best Sound Engineer -Sheyman (Nigeria)
AFRIMMA 2017 Best Collaboration -Wizkid ft Chris Brown – African Bad Girl (Nigeria & USA)
Transformational Leadership Award -Engineer Noah Dallaji
Best Rap Act -Sarkodie (Ghana)
Dancehall Act of The Year – Timaya (Nigeria)
Best Video Director – Daps (Nigeria)
Best Male North Africa- Amr Diab (Egypt)
Best African Dj – Dj Spinall (Nigeria)
Best Gospel Artist -Nathaniel Bassey (Nigeria)
Best Female North Africa – Amani Swissi (Tunisia)