BREAKING NEWS: NYUMBA ZA LINE POLISI ZILIZOPO ARUSHA ZINAUNGUA MOTO MUDA HUU.

Nyumba za line polisi zilizopo Arusha zinaungua moto muda huu chanzo hakijajulikana taarifa zaidi zinakuja​​