BREAKING NEWS: 8 WAFARIKI PAPO HAPO KWA AJALI YA GARI MCHANA HUU MWANZA.

Gari ndogo la abiria (hiace) likiwa na abiria limetumbukia ziwani wakati likijaribu kuingia kwenye kivuko cha Kigongo Ferry jijini Mwanza ambapo imeripotiwa kwamba watu nane wamethibitika kufariki huku uokoaji ukiwa unaendelea.

Kwa Mujibu wa Meneja wa TEMESA, waliofariki ni 8 na wawili wameokolewa huku habari zaidi zikitarajia kukujia hivi punde kupitia hapa hapa darmpya.com