ALIYEMTUPIA BUSH VIATU ATOKA GEREZANI

ALIYEMTUPOA BUSH KIATU ATOKA GEREZANI

Na Sabina Wandiba
Mtu mmoja raia wa Iraq, Muntadhar Al-Zaidi aliyemtupia viatu rais mtaafu wa Marekani George W.Bush, wakati wa mkutano wa waandishi wa habari wa Iraq mnamo tarehe 14 Desemba 2008 ameachiwa huru.

Katika tukio hilo la kusisimua, Bush alilazimika kukimbia, akiepuka kugongwa na viatu hivyo.

Kiatu cha pili kilichorushwa na mtu huyo, kilipiga bendera ya Marekani ambàpo wakati huo, Al-Zaidi anacheka.

Baada ya tukio hilo, haraka walinzi walimkamata na kumtoa katika chumba. Matukio ya aina hii yalikuwa yakitokea mara kwa mara kwankiwango cha kimataifa.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*