AJALI MBAYA YAUA MKOANI KILIMANJARO

Ajali mbaya imetokea huko mkoani Kilimanjaro maeneo ya kikavu kwa Sadala baada ya gari kubwa la maji ya Kilimanjaro lililokuwa likiovateki gari lingine na kukutana ana kwa ana na Gari ndogo aina ya Noah iliokuwa imebeba abiria ikitokea Moshi mjini kuelekea Sanya juu .

Ajali hiyo inasemekana imeuwa takribani jumla ya watu wanne (wakubwa watatu na mtoto mdogo mwenye umri kati ya miaka 3-6 mmoja ), walionusurika ni watu wanne.

Hata hivyo Majina ya marehemu hao bado hawajatambulika.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*